Call Us Directly +255 22 2163600/601

Ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Viwanda ya Mkoa wa Pwani

Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Patrick Mongella (kulia) akitoa maelezo kwa Mgeni Rasmi wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Viwanda ya Mkoa wa Pwani, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya (watatu kushoto). Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wapili kushoto).

 

Maonesho ya Wiki ya Viwanda ya Mkoa wa Pwani.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya (watatu kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wapili kushoto) wakiangalia nyaya za umeme zinazozalishwa na Kampuni ya Konnectt Wire moja ya wateja waliowezehswa na Benki ya Maendeleo TIB.

Maonesho ya Wiki ya Viwanda ya Mkoa wa Pwani..

Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Patrick Mongella akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.

TIB Development Bank's Managing Director makes a presentation during the 4th SADC Industrialization Week that held from August 05 – 09, 2019

Managing Director of TIB Development Bank, Mr. Charles Singili makes a presentation titled “Challenges in Financing Industrialization and the Role of Local DFIs” during the 4th SADC Industrialization Week that took place at Julius Nyerere Conference Centre in Dar es Salaam.

TIB Development Bank's Managing Director makes a presentation during the 4th SADC Industrialization Week that held from August 05 – 09, 2019.

TIB Development Bank's Managing Director, Mr. Charles Singili (centre) in tête à tête with Member of UN Business Steering Committee on Financing for Development and CEO of Europe-Asia-Africa Consulting, Dr. Alawi Swabury (left) during the presentation titled "Financing Industrialization: Opportunities and Challenges". Right is Mr. Kay Parplies, European Union Head of Unit for Investment and Innovative Financing.

Chairperson of the Board Visits Bank’s Pavilion during the 4th SADC Industrialization Week that held from August 05 – 09, 2019

TIB Development Bank’s Board Chairperson, Dr. Mary Mashingo (right) admires wire, which is locally produced by Konnectt Wire Co. Ltd during the 4th SADC Industrialization Week that took place at the Julius Nyerere Convention Centre in Dar es Salaam. Other in the picture are Konnectt Wire Co. Ltd’s Sales Officer, Ally Omary (left) and TIB Development Bank’s Marketing and Corporate Affairs Manager, Saidi Mkabakuli (centre).